Gari lolote unaweza badili kutoka LHD kuwa RHD, ni pesa yako tuHayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646
Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).
View attachment 3518647View attachment 3518648
Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650
Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio.Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646
Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).
View attachment 3518647View attachment 3518648
Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650
Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
Ni kweli unachosema ila baadhi ya mafundi Tanzania mimi nawapa big up sana tofauti na mnavyowazungumzia kwa sababu napokua na changamoto popote pale nakutana na mtu anajua gari..Shida mafundi wa nchi hii wamekariri ufundi wa magari ya kizamani hawataki kurudi shule wajifunze teknolojia ya magari mapya, ndio maana kila new model inayoingia sokoni wao ni kujitetea tu kuwa gari mbovu kumbe hawana uwezo nalo.
Of course Hakuna taahira ataacha RHD achukue LHD. Unaweza kukuta Hakuna option hususan ukiwa nchi za LHD. Ila pia Kuna wakati unapata gari la LHD bei che ukilinganisha na RHD original.Worth the hustle? Si bora kununua RHD.
Chuma Safi Sana, nadhani shida itakuwa mafundi, spare, miundombinu ya kucharge hiyo gari na mwisho ni Rungu la TRA wenyewe lazima mtu urudi Gia tu.Hayo amesema Mwanzilishi wa kampuni WAGA Motion inayohihusisha na kutengeneza miundombinu ya kuchaji magari ya umeme majumbani na kwenye makampuni.
View attachment 3518646
Hiyo Donfen ni kampuni ya Kichina inayotengeneza magari, na hii model eπ 008 ni REEV (ina engine na battery).
View attachment 3518647View attachment 3518648
Juzi kati kijana alileta Tesla Model Y import kutoka US.
View attachment 3518649View attachment 3518650
Tatizo magari yake ana import kutoka US na China Kwahiyo yanakua LHD sijui kwa barabara zetu inakuaje.
Daa... this is totally the wrong use of the word ''panic''Mbona kama unapanic bila kueleweka. Sema kwa manufaa ya wote.
uko sahihi mkuu.Ni kweli unachosema ila baadhi ya mafundi Tanzania mimi nawapa big up sana tofauti na mnavyowazungumzia kwa sababu napokua na changamoto popote pale nakutana na mtu anajua gari..
Nilikua na tattoo la Audi Q 7 dogo mmoja alilitatua usiku hapo Msata siji kusahau na niliendelea na safari..
ndio hapo mkuu mwenyewe na mashaka na hilo, ila kuanzia miaka kadhaa huko mbele najua spea zitawepo za kutosha tu hapa nchini.Chuma kutoka China. Sijui ata kama kuna spare moja Mjini
Huwa nashangaa hawa jamaa wanaowaponda mafundi wetu wakati mimi muda mwingi nipo na hizo gari ngumu ila vijana wanamaliza tatizo tena kwa haraka...uko sahihi mkuu.