Mzee Kigogo JF-Expert Member Joined Jun 3, 2018 Posts 10,497 Reaction score 17,560 Dec 30, 2025 #21 macho_mdiliko said: Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio. Click to expand... Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa.
macho_mdiliko said: Kazaneni kutangaza. Na hivi magari ya umeme bado ni jambo geni kwa Bongo, mtashika wengi wasiojua ukweli masikio. Click to expand... Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa.
Intelligent businessman JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 46,398 Reaction score 102,530 Dec 30, 2025 #22 makaveli10 said: Kuna kigari fulani alikipost kwenye akaunt yake, nikakitamani, nikamfuata kumuuliza bei akapotezea.. Kibaya zaidi kile kigari, mtandaoni hukipati chenye siti kama zile.. Unaweza kukichungulia mkuu ukafanya uchunguzi wako? Click to expand... Chukua kaka ili niende tabora nikauze jina.
makaveli10 said: Kuna kigari fulani alikipost kwenye akaunt yake, nikakitamani, nikamfuata kumuuliza bei akapotezea.. Kibaya zaidi kile kigari, mtandaoni hukipati chenye siti kama zile.. Unaweza kukichungulia mkuu ukafanya uchunguzi wako? Click to expand... Chukua kaka ili niende tabora nikauze jina.
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,696 Reaction score 109,218 Dec 30, 2025 #23 Kile kinatembea 100km/full charge... labda ungeuziq sura tu hapa hapa dar... kuna mazingira nilikuwa napigia hesabu kingefaa sana kile
Kile kinatembea 100km/full charge... labda ungeuziq sura tu hapa hapa dar... kuna mazingira nilikuwa napigia hesabu kingefaa sana kile
macho_mdiliko Platinum Member Joined Mar 10, 2008 Posts 29,500 Reaction score 61,451 Dec 30, 2025 #24 Mzee Kigogo said: Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa. Click to expand... Hasa kwa Bongo. Majuu inaweza kuwa siyo issue lakini kwa Bongo bado.
Mzee Kigogo said: Mimi magari ya Umeme bado hujanishawishi kabisa. Click to expand... Hasa kwa Bongo. Majuu inaweza kuwa siyo issue lakini kwa Bongo bado.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Jan 1, 2026 #25 Ahsante kwa taarifa... Cc: Mahondaw