maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,408
- 6,094
Duh! Senetor kapiga ki-hereni! Duh!
Kikwete ambae havuti bangi kawafanyia nini? Mnadanganywa na suti watzBangi na madawa ya kulevya siyo mchicha ndugu yangu kwamba utamkuongezea protein.Lazima apinde tu
Sasa nairobi mlegezo ruksa
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Wasio vuta bangi wamewafanyia nini na giza lenuBangi na madawa ya kulevya siyo mchicha ndugu yangu kwamba utamkuongezea protein.Lazima apinde tu
Ndemokrasia ina mambo
Waambie mambwiga hawaendeleeni kuwa na viongozi kama akina Iddi Simba na mzindakaya......mkija kushtuka wenzenu wako mbaaali
umeona hereni tuu...hujaona amevaa saa mikono yote miwili!!
Hatimaye yule mbunge mwenye makeke bwana Mike Gidion Mbuvi (Sonko) ameukwaa Usenetor wa jiji la Nairobi! Natumaini mtakua mnamkumbuka sana kwa mambo yake ya Usharo*****
Tena wakumbushe kuwa Sonko alikuwa mbunge kabla ya hapa. Ni dhahiri watu wanaridhishwa na utendaji wake ndio maana wamemuamini tena awatumikie kama Seneta.Waambie mambwiga hawa
Hata mwanasheria mkuu wa kenya anavaa hereni?Halafu ndo mnamsema SUGU eti brazamen!!!
Duh! Senetor kapiga ki-hereni! Duh!