Gidion Mbuvi Sonko Aukwaa Usenetor Wa Jiji la Nairobi

Sonko's statement in 'Rasta' dressing and dreadlocks + + +

source: capitalfmkenya youtube
 
Last edited by a moderator:
Kinachohitajika ni utekelezaji wa Mipango ya maendeleo baasi , kwa utafiti nilioufanya unaonyesha kuwa wanaongoza kwa wizi na kutokuaminika ( most of them ) ni wale wanaovaa SUTI !! wakiwemo Viongozi wa kisiasa, mawaziri , wabunge , maharusi nk

wanavaa suti ili waonekane wasafi machoni mwa wananchi
 
Kinachohitajika ni utekelezaji wa Mipango ya maendeleo baasi , kwa utafiti nilioufanya unaonyesha kuwa wanaongoza kwa wizi na kutokuaminika ( most of them ) ni wale wanaovaa SUTI !! wakiwemo Viongozi wa kisiasa, mawaziri , wabunge , maharusi nk

We jamaa umenifanya nivue koti langu...hah hah hah haaah
 
Back
Top Bottom