Giggy Money aja na SUPU

Mpiga picha nae alifaidi. Ila wapiga picha huwa wanakazi sana[emoji1]
 
Dah i didn't like it and I won't like it. Girls watu hawali chakula kilicho achwa wazi, wanakula kilichofunikwa.
Anyway ndio utandawazi....
 
niwakawaida sana! sema akija kuolewa itakuwa bahati ya mtende tu! huyu maji matupu boga lisilonaladha! AIBU kubwa kwa wazazi na nduguze wakaribu
 
Kweli chura kasingiziwa ila hii supu ndo mjipu wenyewe hakika lazima utumbuliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…