Giggy Money aja na SUPU

Giggy Money aja na SUPU

aibu kubwa!.Jaman watu wanaohusika na maadili nchini huyu awekwe gerezani tu! hakuna namna! khaaaaa
8bf79a9edf5d85048a62d69dbaf6b7e5.jpg
 
Dah i didn't like it and I won't like it. Girls watu hawali chakula kilicho achwa wazi, wanakula kilichofunikwa.
Anyway ndio utandawazi....
 
niwakawaida sana! sema akija kuolewa itakuwa bahati ya mtende tu! huyu maji matupu boga lisilonaladha! AIBU kubwa kwa wazazi na nduguze wakaribu
 
Kweli chura kasingiziwa ila hii supu ndo mjipu wenyewe hakika lazima utumbuliwe
 
Back
Top Bottom