barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Kumbe ni mnyakyusa? Ndo maana!
Anapenda kukaa uchi
Huyu dada ana matatizo
Hivi Sheria ya Makosa ya Kimtandao ni pambo ?
Huyu ndo Giggy bhana....Chura wa Kinyakyusa
Jiandaeni kunyweshwa supu !!!
Supu ya moto
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
[emoji445] Wape wape vidonge vyaoNyinyi wanawake cku zote mna lalamika kuhusu usawa na kudhalilishwa mwenzenu apo anawavua nguo mmekaa kimya..... au kwa hilo haliwa husu... "mtakojozwa sana"
Sio wazazi tu ina hawaamini MUNGU huyu tunaemnyenyekea sisi?Hivi hawa watoto hawana wazazi, ?
Hili ni Jukwaa la Umbea(Celebrities Forum)Mbona hakuna shida
Mimi siku zote nasema kile hukipendi huna haja ya kukifatilia hii ni dunia huru
Mimi mwenyewe sipendi taarabu ila hakuna siku nimeangaika nazo... Au hata mashoga ila sina muda
Hapana nasemea watu wanao ponda kuhusu huyo demu na staili yake ya maisha, si sawa kila mtu humu ana aina yake ya maisha na si lazima impendeze kila mtu... Mtu akiona Supu haimfai kunywa anaenda kula mtori tu sio ishuHili ni Jukwaa la Umbea(Celebrities Forum)
Nimeleta tu umbea
Wala sifuatilii maisha yake
Hapa ni burudani tu
Nimekuelewa vizuri mkuuHapana nasemea watu wanao ponda kuhusu huyo demu na staili yake ya maisha, si sawa kila mtu humu ana aina yake ya maisha na si lazima impendeze kila mtu... Mtu akiona Supu haimfai kunywa anaenda kula mtori tu sio ishu
Nklikuwa nashauri tupunguze unafki
Kaka Avatar yako imenichekesha sana... na hata avatar yako sheria ya mtandao itaihusu pia...haaaa haa haaa
Anapenda kukaa uchi
Huyu dada ana matatizo
Hivi Sheria ya Makosa ya Kimtandao ni pambo ?
Huyu ndo Giggy bhana....Chura wa Kinyakyusa
Jiandaeni kunyweshwa supu !!!
Supu ya moto
[emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91]
Utakuwa jangili wwKaka Avatar yako imenichekesha sana... na hata avatar yako sheria ya mtandao itaihusu pia...haaaa haa haaa
Utakuwa jangili ww
Me mzalendo natangaza utalii (tembo) bhana....Ile suruali ya mlegezo ni funny tu ili kuwakilisha neno BITOZ
Hilo swali hata mm hua najiuliza lakin sipati jibu..Hivi hawa watoto hawana wazazi, ?
Taking the words out of my mouth. Hawa kweli hawana fikra na wazazi wao kama wanao hao wazaziHivi hawa watoto hawana wazazi, ?