Giggy Money aja na SUPU

...huyu si muhudumu pale sinza pembeni ya Meeda Bar,kumbe ana visa hivi
 
sina undugu na hawa wauza naniliu na wanaokaa uchi uchi nina binti anaendelea kukuwa nasikitika na ninahofu na matabia ya aina hii sijui tunakoelekea

Huna undugu na Watanzania na sijui mabinti wanao uza naniliu ,kisa una binti anakua ,huyo binti yako akiona hiyo avatar yako umembong'olea mwanaume ni sawa tu

Hii dunia bana
 
Huna undugu na Watanzania na sijui mabinti wanao uza naniliu ,kisa una binti anakua ,huyo binti yako akiona hiyo avatar yako umembongolea mwanaume ni sawa tu

Hii dunia bana
na nina undugu na watanzania wenye akili timamu, hawa na mashoga hata ......awe ni kutoka kwenye tumbo la mamangu achilia mbali utanzania sitakuwa na undugu naye ....

mwanangu
hatakaa aione hii avatar maana ikifika wakati wake nitaiondoa .. atakuta picha ya mamvi hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…