Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
...huyu si muhudumu pale sinza pembeni ya Meeda Bar,kumbe ana visa hivi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani huyo asiyejali?Na yeye hajali km ww
....sawa sawa,muuza Bar tu huyu,pale love pub,SinzaAnaonekana mchafu mchafu....
huyu kajilipua...Napenda swaga zake
Hajali watu wanasema nini
.................
Anaonekana mchafu mchafu....
mmmh mbona anasema anamiliki kampuni >?....sawa sawa,muuza Bar tu huyu,pale love pub,Sinza
Kizuri kinajiuza kibaya..............Yupo sokoni
Bidhaa matangazo
sina undugu na hawa wauza naniliu na wanaokaa uchi uchi nina binti anaendelea kukuwa nasikitika na ninahofu na matabia ya aina hii sijui tunakoelekea
na nina undugu na watanzania wenye akili timamu, hawa na mashoga hata ......awe ni kutoka kwenye tumbo la mamangu achilia mbali utanzania sitakuwa na undugu naye ....Huna undugu na Watanzania na sijui mabinti wanao uza naniliu ,kisa una binti anakua ,huyo binti yako akiona hiyo avatar yako umembongolea mwanaume ni sawa tu
Hii dunia bana
Kibaya ndio huyo bibi gigy anatangaza biashara kwa kujidharirishaKizuri kinajiuza kibaya..............
Baba ake ndo wa kwanza ku-coment, na ni msaada mkubwa sana kwenye familia yao, waseme nn sasa!Hivi hawa watoto hawana wazazi, ?
...mavi ya Kuku,nenda hapo utamkuta kauntammmh mbona anasema anamiliki kampuni >?
halaa inaelekea anapekechwa balaa...mavi ya Kuku,nenda hapo utamkuta kaunta
Dunia haiishi vituko ndugu yanguHuna undugu na Watanzania na sijui mabinti wanao uza naniliu ,kisa una binti anakua ,huyo binti yako akiona hiyo avatar yako umembong'olea mwanaume ni sawa tu
Hii dunia bana