Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)

Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Huyu demu ukifuatilia style ya maisha yake aisee namuonea huruma yule mtoto kuzaliwa na mama mwendawazimu namna hii. She needs to change kwakweli mtoto anakua huyu anazidi kuwa mwehu kila siku zinavyokucha.
 
Maisha ya kuiga kazi sana sana, ila ni yao, ya ngoso waachie ma ngoso..
 
Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)

Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Okay
 
Tuwaombee tu hawa wasanii wetu kwa kweli.... maisha ya instagram na halisi ni vitu viwili tofauti kama mbingu na ardhi.
 
Huyu demu ukifuatilia style ya maisha yake aisee namuonea huruma yule mtoto kuzaliwa na mama mwendawazimu namna hii. She needs to change kwakweli mtoto anakua huyu anazidi kuwa mwehu kila siku zinavyokucha.
Ila giggy jaman yaan hana hata habari naye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Crazy maarufu unatarajia nini? Sijui ana wazazi? Namaanisha wapo hai kweli? Na wanaona vitimbwi vya mtoto wao kabisa au wameamua kumshindwa?
 
Back
Top Bottom