Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

Giggy Money Kawaumbua Mastaa uchwara, sikutegemea kama anakaa Uswahilini

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana kumbe Gigy money ndio huyu?
Naskiaga Gigy money sasa nilikua simjui aisee kumbe ndio huyu??
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kuna usemi unasema; Remove sex from relationship, more tha 95%of girls have nothing to offer in their relationships

Kwanza mchafu tena mswahili kuliko nilivyokua nikimsikia, nilidhani ni bonge la mwanamke kumbe hakuna kitu
 
Mi mwenzenu kuona anajianika nyapu kila sehemu nikaimagine atakua anakaa Masaki kumbe wapi anajificha kwenye mabanda sinza sehemu inaojaa maji kama kisiwa.
Nimeelewa kwanini alimtkana mjumbe aliyekata miti yake hakutaka aonekane.
Screenshot_20171115-142957.png
Screenshot_20171115-142930.png
Screenshot_20171115-142818.png
Screenshot_20171115-142815.png
Screenshot_20171115-142732.png
Screenshot_20171115-142818.png

Amakweli nimeamini ile kauli
"Huwezi kumcompare gigy na huddah"
Kumbe biashara ya nyapu nsyo hali mbaya!!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uswazi rahaa!
 
Nilikuwa nimetazama hii video nusu kiukweli tukubali kuwa malezi kwa watoto wetu ni kitu cha thamani sana na sio tu malezi bali malezi yenye kuwafanya watoto waogope watu wa rika mbalimbali wanaokutana nao (Uoga wa nidhamu/kuheshimu)

Nimewaza kwa mara nyingine endapo huyu angekuwa mzazi wangu na nikamkuta yupo katika ule mzozo huku akitolewa maneno makali na watoto ambao walimkuta dunia akiwa tayari mtu mzima, nimefikiria kitendo ambacho ningefanya hakika ningeshitakiwa kwa kuua kwa kukusudia.

Jamii nyingi za Kiafrika zimejenga utaratibu wa kuogopa sana na kuwaheshimu wazee au wale waliokuzidi umri na baadhi ya makabila yetu yamekuwa yakizingatia hili ila teknolojia na utandawazi unakuja kuharibu maadili ya watoto wetu vijana wa kike na wakiume wote hali yao ni moja: mfano hao wavulana wanaoonekana hapo kwenye video walishindwa kutumia akili zao kulinda hadhi na heshima ya huyo mjumbe? Walishindwa kabisa hata kuwachapa fimbo hao waandishi wasiendelee kurekodi video hiyo ambayo sasa inaonesha udhalilishaji wa huyo mjumbe!!!.

Mungu niepushie mambo kama haya ninapenda sana kuishi uraiani.
 
Cha kushangaza waTanzania wengi wasiomaarufu..wanapenda kuwa maarufu zaidi yahao maarufu..wakiamini ukiwa maarufu tayar uwakika unakuwa na heraa...
Wekeni juhudi ktk future umaarufu bongo hauna issue
 
Hahahahaaaaa nimecheka kifala ila kuhusu makuzi yake sishangai mtoto wa keko wa wahuni sema kinachonishangaza ni hiyo nyumba anayokaa
 
Pambana na hali yako. Giggy Money inawezekana ana "fake it til you make it".

Huyo bibie kashaweka mpaka mahari yake kama biashara, wewe unataka kumfuatiliakamamtu mwenye akili nzuri kichwani?

She will drag to her level and beat him with experience...sawa na kushindana na chizi. Ogopa mtu aliyejizira
 
Maisha ya kuigiza magumu sana,anasema Mahari yake si chini ya million 10,wigi million 6,
 
Ha ha ha !!!!! Habari na picha" Inaonekana Giggy hajapata malezi ya kutosha. Yeye mwenyewe ameshindwa kulinda brand yake. Halafu amepanga mabanda ya uani.
Ha ha ha !!!! Bas tufanye 900 itapendeza.
 
Tunaibiwa na make up,msambwanda siujui umepotelea wapi
6fd4b8a872f1a5cb05827954e7492249.jpg
81ffea6fc2c78afe473a49fa9e7a3d7f.jpg
8854164c2db65eefc688cce8d02fb532.jpg
185083f3c1d42f2ecd6c2be988af3ff7.jpg
 
halafu wanaish kigeto geto yani wapo kama sita hivi.
 
Hawana adabu hawa madem,wanaona siiiifa huyu si kama mama yao??sijui wamelelewa nchi gani hawa khaa!!!!
 
Hapo ndio Sinza kwa wajanja?? Giggy money sio mzima kutakuwa kuna kitu kinampa stress,kutoka body body ya 8GB mpaka 1GB ghafla kutakuwa na issue tu...#Ni_Kazeze
Kazeze ya OCG?
 
Are these cursed bitches not in custody yet ..!??

Where is the POLICE!???
 
Back
Top Bottom