The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Aisee!
Wigi la milioni 6, nyumba ya elfu 20 chumba.
Wasanii wetu wana maisha magumu sana. Na sasa Magufuli na Makonda wamewavuruga kwenye madawa ya kulevya, hawana ham.
Hawana kitu kinachowaingizia pesa muda wote, madawa ya kulevya hayalipi sasa, umalaya ndio pekee unaolipa kwa sasa ingawa wateja pia wamepungua.
Nimemuonea huruma, hayo maisha ni maisha ya kiswahili kabisa. Lakini pia huyu binti anaonyesha kabisa hana malezi mazuri, severe lack of basic hom training.