Malapa ya milioni saba......Dela la milioni 9
aiseekuna msanii anaitwa Mlela kuna siku nilijua anapoishi sikuamini yaani
Huyu demu ukifuatilia style ya maisha yake aisee namuonea huruma yule mtoto kuzaliwa na mama mwendawazimu namna hii. She needs to change kwakweli mtoto anakua huyu anazidi kuwa mwehu kila siku zinavyokucha.Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)
Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ati sasa hivi ndio supastaa πππππ mie huyu kichaa siwezi hata kukaa nae meza moja tukanywa whisky.Eti yy mtoto wa Polisi....halafu limelewa mbaya yaaaaan!
Ngj itoke siku aukwae udisiiAti sasa hivi ndio supastaa πππππ mie huyu kichaa siwezi hata kukaa nae meza moja tukanywa whisky.
Duh sema hii nchi kama Jerry amekuwa DC, anything else from CCM is possible. Kama Msando mchezea Papa amekuwa DC sasa aliyeitoa ichezewe so ndio ataonekana hero kabisa?Ngj itoke siku aukwae udisii
Utampigia salute π
Ova
π π π wot a bloodklaat.Duh sema hii nchi kama Jerry amekuwa DC, anything else from CCM is possible. Kama Msando mchezea Papa amekuwa DC sasa aliyeitoa ichezewe so ndio ataonekana hero kabisa?
OkayNdugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)
Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]kuna msanii anaitwa Mlela kuna siku nilijua anapoishi sikuamini yaani
[emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787]
πππππHuyo jamaa tunacheza nae hadi chandimu huku kinondoni
Tuwaombee tu hawa wasanii wetu kwa kweli.... maisha ya instagram na halisi ni vitu viwili tofauti kama mbingu na ardhi.Ndugu zangu leo katika pita pita zangu nikakutana na video ya mwana dada maarufu hapa mjini Giggy Money akigombana na mjumbe nyumbani kwake. Kilichonistua ni mwonekano wa hajabu, yaani mbaya kuliko hata house girl wangu.(Hapa nika salute meke up)
Pili nikashangaa kuona nyumba na mazingira anayokaa haviendani na mambo anayoyasemaga katika videos tofauti, eti wigi langu Mil.6 sijui nakaa nyumba ya Mil.8 kwa mwaka. Aisee hawa wasanii wanaigiza mpaka maisha yao? Acha nilale kumbe niko vizuri mara mia kuliko hawa watu wa mapicha picha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Ila giggy jaman yaan hana hata habari naye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu demu ukifuatilia style ya maisha yake aisee namuonea huruma yule mtoto kuzaliwa na mama mwendawazimu namna hii. She needs to change kwakweli mtoto anakua huyu anazidi kuwa mwehu kila siku zinavyokucha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ngj itoke siku aukwae udisii
Utampigia salute [emoji23]
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyo jamaa tunacheza nae hadi chandimu huku kinondoni
Crazy maarufu unatarajia nini? Sijui ana wazazi? Namaanisha wapo hai kweli? Na wanaona vitimbwi vya mtoto wao kabisa au wameamua kumshindwa?Ila giggy jaman yaan hana hata habari naye. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]