Giggy Money: Lazima nifanye mapenzi na mtoto wa Zari

Giggy Money: Lazima nifanye mapenzi na mtoto wa Zari

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.

Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.

"Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja, lazima nizae na mtoto wako wa kwanza halafu wewe utakuwa bibi wa mwanangu ndio utaniheshimu. Atakuwa mama Mkwe wangu na hatoamini, mimi nitapita na mwanae wa kwanza na nitazaa naye," amesema Gigy Money.

Kauli ya muimbaji huyo inakuja ikiwa ni muendelezo wa beef kati ya warembo hawa, Gigy na Zari
 
Niwekeeni ule wimbo wa "Natabiri" wa Kala Yeremia.

Mastaa wa Bongo bhana! Ngono kwao ndiyo kiki.

Haya ndiyo matatizo ya vyombo vya habari kuwakuza vichaa
 
Mwanawe Zari si mwanafunzi yule sasa huyu atakuwa mbakaji wa kike nae, na jela itamuhusu.

Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
NI KWELI MWANAMKE ANA MAYAI KAMA BILLIONI...ILA AKIFIKA 45YRS YOTE YANAAGA...KWAHIYPO AZAE BELOW 30YRS. ova
 
Back
Top Bottom