Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu ni kichaa aisee 😃 ndio maana anashangaa kila siku maisha yake yapo vilevile sababu hajajua umri ushamtupa mkono aache upuuzi sasa.Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.
"Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja, lazima nizae na mtoto wako wa kwanza halafu wewe utakuwa bibi wa mwanangu ndio utaniheshimu. Atakuwa mama Mkwe wangu na hatoamini, mimi nitapita na mwanae wa kwanza na nitazaa naye," amesema Gigy Money.
Kauli ya muimbaji huyo inakuja ikiwa ni muendelezo wa beef kati ya warembo hawa, Gigy na Zari
Msanii wa muziki Bongo, Gigy Money amefunguka na kudai kuwa ana mpango wa kuzaa na mtoto wa kwanza wa Zari The Bosslady.
Muimbaji huyo akipiga stori na SnS Tanzania (Simulizi na Sauti) amesema atafanya hivyo ili Zari aweze kumuheshimu kama mkwe wake.
"Sasa Zari, mimi ninachokuaidi kitu kimoja, lazima nizae na mtoto wako wa kwanza halafu wewe utakuwa bibi wa mwanangu ndio utaniheshimu. Atakuwa mama Mkwe wangu na hatoamini, mimi nitapita na mwanae wa kwanza na nitazaa naye," amesema Gigy Money.
Kauli ya muimbaji huyo inakuja ikiwa ni muendelezo wa beef kati ya warembo hawa, Gigy na Zari
Huyu ukiwa nae lazima ulambe laana, angalia kila mwanaume anamkimbia yani akikaa muda mrefu miezi mitatu. Saitani huyu. A daughter of Jezebel.Hivi ile kauli ya "kwenye kila mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke nyuma yake" na Gigi yupo?.
Kama ndiyo mzazi wake, sijui unakuwa unamfuatilia mwanao au unatulia tu kimyaàaa?!Hivi hawa Mabint hawanaga Wazazi?
Halafu unasikia kijana mimi "Role model" wangu Gigy mane.
Tuheshimiane bwana....... hhahahahHivi kumbe mwanamke akiwa na "msabwada" mkubwa unakuwa unanyonya akili zake zinatoka kichwani na kujaa huko kwenye makalio!!!!