Giggy Money: Lazima nifanye mapenzi na mtoto wa Zari

Hivi ile kauli ya "kwenye kila mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke nyuma yake" na Gigi yupo?.
 
Huyu ni kichaa aisee 😃 ndio maana anashangaa kila siku maisha yake yapo vilevile sababu hajajua umri ushamtupa mkono aache upuuzi sasa.
 
Weka picha ya Gigy Money tumuone
 
Hivi ile kauli ya "kwenye kila mafanikio ya Mwanaume kuna Mwanamke nyuma yake" na Gigi yupo?.
Huyu ukiwa nae lazima ulambe laana, angalia kila mwanaume anamkimbia yani akikaa muda mrefu miezi mitatu. Saitani huyu. A daughter of Jezebel.

Honestly she needs to change her attitude.
 
Hivi hawa Mabint hawanaga Wazazi?

Halafu unasikia kijana mimi "Role model" wangu Gigy mane.
Kama ndiyo mzazi wake, sijui unakuwa unamfuatilia mwanao au unatulia tu kimyaàaa?!
 
Hivi kumbe mwanamke akiwa na "msabwada" mkubwa unakuwa unanyonya akili zake zinatoka kichwani na kujaa huko kwenye makalio!!!!
Tuheshimiane bwana....... hhahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…