"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

Japo wanasema haina makombo...ila ile list aliyoitaja Kwa mketema...duuh..her yake kijana anywe supu ya utumbo hiyo
 
Soon jamaa ataenda kwa amber lulu. Ni kupokezana tu.ili mradi waendelee kusikika
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Akili zao zitakuwa zinafanana hao, huyu bure simtaki.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Anashare na wazee tu apa mjini ana hela ya kumuonga gigy uyo
 
Back
Top Bottom