"Gigi Money amtabulisha mpenzi wake ni mtangazaji wa redio!

Japo wanasema haina makombo...ila ile list aliyoitaja Kwa mketema...duuh..her yake kijana anywe supu ya utumbo hiyo
 
Soon jamaa ataenda kwa amber lulu. Ni kupokezana tu.ili mradi waendelee kusikika
 
Reactions: MC7
Akili zao zitakuwa zinafanana hao, huyu bure simtaki.[emoji12]


Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Reactions: MC7
Jamaa anaonekana anauzoefu na wanawake wa aina hiyo,anapitazake kuelekea anakoenda
 
Anashare na wazee tu apa mjini ana hela ya kumuonga gigy uyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…