Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao

Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao

Mo J ameonesha ukomavu ktk hili, cjui ni chaliii wa chugga!! ila kijana kama huyu alilishwa nini kudate na Gigi...Gigi papa acheee
 
Kivipi mkuu wakati anakili hapo anavuta bange.
Sheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
 
Wenzio wanazaa na wenye pesa wewe gigy umeenda kwenye njaa kali yamekukuta sasa
Mapenzi ya kweli hayachagui pochi

Yeto mi ombe

Hapana.
Walikuwa wanajaribu kulazimisha Bata azae na Kuku.

Wanatoka ulimwengu mbili tofauti.Ilikuwa ni mission impossible.

Ukizoea vya kuoka vya kuchemsha hutoviweza!

Gigi moja ndio akina nani hao Niko huku uporoto mbeya nalima.viazi
Poyeee

Mje na huku Story: Kwanini Upo Single?!
 
Watu wa aina ya Gigy Money sio wa ku date na Normal Person, watasumbua sana.
Hahaha true love hachagui... kwani haujasikia abnormal ni watamu kitandani na wana attract normal?!

Shida unazaa na mwenye dudu kubwa halafu unataka kuishi na mwenye hela ila ana kibamia! mna shida nyie kuchagua dudu na hela!!!
Kuna watu Mungu anawapaga vyote ndio maana Gigi anachagua wote

Polisi wanasubilia ushahidi gani kumtia nguvuni gigy money kwa kosa la kutumia bangi?
Labda iyo video alioongea bwanake

Mje na huku Story: Kwanini Upo Single?!
 
Huyo dogo sijui Mo yuko very smart. Anajibu maswali kisomi.

Nimejikuta naangalia hiyo mahojiano yake, yuko vizuri dogo.

Huyo gig money hana akili.

Lakini hili liwe somo kwa wanaume wenzangu, never trust a woman, ona huyo gigy alikua na huyo dogo na anadai alikua anampenda sana ila bado akawa anatafunwa na mshikaji mwingine mwenye hela.

Ukiwa na mwanamke wako mzuri hata kama anakwambia anakupenda vipi usimuamini 100%, atakua anamegwa tu.

Hela ni sawa na silaya ya nyuklia kwa mwanamke kama anasumbua tumia hela, unakua umemmaliza, anavua chupi mwenyewe.

Nishakula wanawake kibao sana, wana wanaume wao wanawapenda sana ila wakashindwa kuresist pesa, pesa kwa mwanamke iko juu ya mapenzi.
Touche Bro Touche

Kqani haujasikia kakako aliimba juzi, ukiwa na pesa kumegwa (kucheatiwa) ni siri ya ndani

Wanaelewa wenye pesa sana

Njoo na huku mjombaa https://www.jamiiforums.com/threads/story-kwanini-upo-single.1438078/page-13
 
Sheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
Acha kutudanganya wewe clip ushahidi tosha

Vp mama?!

Mje na huku Story: Kwanini Upo Single?!
 
Kivipi mkuu wakati anakili hapo anavuta bange.
Nashangaa anataka kutufanya mazuzu

Sheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
Acha kutudanganya shemeji tumesoma Sheria ujue

Mje na huku Story: Kwanini Upo Single?!
 
Back
Top Bottom