Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niwekee shamba ndugu yangu nitakuja kulima natokea huku nandafu Mbeya!Gigi moja ndio akina nani hao Niko huku uporoto mbeya nalima.viazi
Kisheria hii clip haiwezi kutumika kama ushahidiPolisi wanasubilia ushahidi gani kumtia nguvuni gigy money kwa kosa la kutumia bangi?
Kivipi mkuu wakati anakili hapo anavuta bange.Kisheria hii clip haiwezi kutumika kama ushahidi
Sheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingineKivipi mkuu wakati anakili hapo anavuta bange.
Hahaha apipa na mfuniko vimekutana hapo
Kama wewe ulivyoamka kusoma umbeaUmeamkia umbea asubuhi asubuhi
Mapenzi ya kweli hayachagui pochiWenzio wanazaa na wenye pesa wewe gigy umeenda kwenye njaa kali yamekukuta sasa
Yeto mi ombe
Hapana.
Walikuwa wanajaribu kulazimisha Bata azae na Kuku.
Wanatoka ulimwengu mbili tofauti.Ilikuwa ni mission impossible.
Ukizoea vya kuoka vya kuchemsha hutoviweza!
PoyeeeGigi moja ndio akina nani hao Niko huku uporoto mbeya nalima.viazi
Nashukuru Kaka Uje na huku Story: Kwanini Upo Single?!Nimependa uandishi wako.
SawaNatumia free basics video itanisamehe
HahahahaGigy Money bana kichwani hakuna kitu kabisa huyu demu
Director Nisher inakuaje bro
Kwak wellGangstar love hata siku moja haifagi kizembe...
Watatoana hata macho lakini bado wataendelea kua wapenzi...
Cc: mahondaw
Hahaha true love hachagui... kwani haujasikia abnormal ni watamu kitandani na wana attract normal?!Watu wa aina ya Gigy Money sio wa ku date na Normal Person, watasumbua sana.
Kuna watu Mungu anawapaga vyote ndio maana Gigi anachagua woteShida unazaa na mwenye dudu kubwa halafu unataka kuishi na mwenye hela ila ana kibamia! mna shida nyie kuchagua dudu na hela!!!
Labda iyo video alioongea bwanakePolisi wanasubilia ushahidi gani kumtia nguvuni gigy money kwa kosa la kutumia bangi?
Touche Bro ToucheHuyo dogo sijui Mo yuko very smart. Anajibu maswali kisomi.
Nimejikuta naangalia hiyo mahojiano yake, yuko vizuri dogo.
Huyo gig money hana akili.
Lakini hili liwe somo kwa wanaume wenzangu, never trust a woman, ona huyo gigy alikua na huyo dogo na anadai alikua anampenda sana ila bado akawa anatafunwa na mshikaji mwingine mwenye hela.
Ukiwa na mwanamke wako mzuri hata kama anakwambia anakupenda vipi usimuamini 100%, atakua anamegwa tu.
Hela ni sawa na silaya ya nyuklia kwa mwanamke kama anasumbua tumia hela, unakua umemmaliza, anavua chupi mwenyewe.
Nishakula wanawake kibao sana, wana wanaume wao wanawapenda sana ila wakashindwa kuresist pesa, pesa kwa mwanamke iko juu ya mapenzi.
Acha kutudanganya wewe clip ushahidi toshaSheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
Vp mama?!duuh
Kwa vile hujanimention sicomment ss [emoji123]
Na ukute ndio mbaya sana kuliko giggy moneymo jay yuko vizuri sana anajibu maswali kiufasaha
Mo j
Vichaa ni watamu kitandani jamaa elemeniMo J ameonesha ukomavu ktk hili, cjui ni chaliii wa chugga!! ila kijana kama huyu alilishwa nini kudate na Gigi...Gigi papa acheee
Nashangaa anataka kutufanya mazuzuKivipi mkuu wakati anakili hapo anavuta bange.
Acha kutudanganya shemeji tumesoma Sheria ujueSheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
Ngoja niwahi seat ya mbele kabisaPoa
Uje huku basi Story: Kwanini Upo Single?!