Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao

Anajikanyaga kweli, mara mtoto sio wa Mo J mara alikuwa na mimba yake ya miezi mitano mara kwanza hafanani na Mo J mara haiwezekani akawa baba mtoto alafu anamuachia buku mara amamjua baba mtoto yeye, wakati huo huo amamuita ni mpenzi wake! Full kujikanyaga, bado anampenda huyo Mo J.
 
Juzi niliweka uzi hapa kuhusiana na haha mambo,ukimsikiliza mwanamke katika huy mjadala utahisi mwanaume ni muuaji kabisa,lakini trust me wanawake wanamambo mengine sana kwenye mahusiano ni vile tu sisi ni "wanaume" tungekuwa tunaongea kama wao nadhani kungekuwa na organisation nyingi sana za kutetea haki za wanaume..
 
Lakini mkuu kazi inakuwa isharahisishwa sana maana huyo zaidi ya asilimia 50 keshasaidia polisi kilichobaki ni kumpima kuthibitisha, yaani alitakiwa aanze kuisaidia polisi.
 
Meona ee
Me naona waendeleze tu penzi lao wasitusumbue

Uje ma huku shem Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
 
Hahaha a
hizo organization zingeitwa Menjin

Uje huku shem Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani
 
Hivi kweli mwanzume mwenye akili zako timamu unaenda kuzamisha dushelele lako kwa gigigi money tena ‘bare’?? Aloooo huu ni umbulura uliopitiliza, siku ya mwisho ukipelekwa kwa bashite au kwa yule bitch wa wanawake live unaanza kujiliza liza..... kwa ufala huu huyo dogo ni wa kupigwa risasi4 za kichwa liwe fundisho kwa viben10
 
Hongera Sasa Giggy Money(Zawadi aka Gift) kwa KUKAA Masaki na kina Big Chawa TZ.
 
Ila wanaume wa dar ni majasiri, kuuza mechi kwa yule kichaa inahitaji ujasiri wa kiwango cha juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…