Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #41
HahahaNgoja niwahi seat ya mbele kabisa
Anzia page ya 6, Uje ya 9, Uje ya 11 malizia ya 13
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaNgoja niwahi seat ya mbele kabisa
Kama kawa kama dawaWiki ijayo utaskia anatoa wimbo
Uje NA huku USHAURI: UKIWA NA PESA, KUMEGEWA NI SIRI YA NDANI!!Ngoja niwahi seat ya mbele kabisa
Lakini mkuu kazi inakuwa isharahisishwa sana maana huyo zaidi ya asilimia 50 keshasaidia polisi kilichobaki ni kumpima kuthibitisha, yaani alitakiwa aanze kuisaidia polisi.Sheria ya ushahidi Tz haitambui confession inayofanyika kwenye vyombo vya habari labda akikamatwa akapelekwa mahakamani akiri mbele ya mahakama au afisa wa polisi. Lakini hapo akikamatwa na akafika mahakamani akikana mashitaka hiyo clip haiwezi kutumika kama ushahidi itabidi kuthibitisha kwa namna nyingine
Meona eeAnajikanyaga kweli, mara mtoto sio wa Mo J mara alikuwa na mimba yake ya miezi mitano mara kwanza hafanani na Mo J mara haiwezekani akawa baba mtoto alafu anamuachia buku mara amamjua baba mtoto yeye, wakati huo huo amamuita ni mpenzi wake! Full kujikanyaga, bado anampenda huyo Mo J.
Hahaha aJuzi niliweka uzi hapa kuhusiana na haha mambo,ukimsikiliza mwanamke katika huy mjadala utahisi mwanaume ni muuaji kabisa,lakini trust me wanawake wanamambo mengine sana kwenye mahusiano ni vile tu sisi ni "wanaume" tungekuwa tunaongea kama wao nadhani kungekuwa na organisation nyingi sana za kutetea haki za wanaume..
Shem unaitwa huku https://www.jamiiforums.com/threads/ushauri-ukiwa-na-pesa-kumegewa-ni-siri-ya-ndani.1445343/Lakini mkuu kazi inakuwa isharahisishwa sana maana huyo zaidi ya asilimia 50 keshasaidia polisi kilichobaki ni kumpima kuthibitisha, yaani alitakiwa aanze kuisaidia polisi.
Nakuja.Shem unaitwa huku Ushauri: Ukiwa na pesa, kumegewa ni siri ya ndani