Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao

Gigi Money na Mo Junior waendeleze penzi lao

Money Penny

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2016
Posts
17,694
Reaction score
17,131
Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao

Mke anaongea yake

Mume anaongea yake

Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la

Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money na Mo Junior, hizi Kiki zimepitwa na wakati, naombeni yaishe mlee mtoto

Wakati mnatongozana hatukuwepo sasa mmeshazalishana na kupigana mechi mnatuletea vurugu kwanini msizimalize kimya kimya?!

Woi

Wale wanaosema Hawa wawili wanapendana wanyooshe vidole juu

Wale wanaosema Hawa watu waachane wanyooshe kidole cha mwisho juu

Wale wanaosema haya mahusiano hayataendelea kamwe bora Mo junior ajikatae mbele wanyooshe kidole cha Kati juu

Nawatakia asubuhi njema
 
Wenzio wanazaa na wenye pesa wewe gigy umeenda kwenye njaa kali yamekukuta sasa
 
pipa na mfuniko vimekutana hapo
Hapana.
Walikuwa wanajaribu kulazimisha Bata azae na Kuku.

Wanatoka ulimwengu mbili tofauti.Ilikuwa ni mission impossible.

Ukizoea vya kuoka vya kuchemsha hutoviweza!
 
Hakuna kesi ngumu Dunani Kama ya kusuluhisha wapendanao

Mke anaongea yake

Mume anaongea yake

Mwisho wa siku kitanda ndio kinaamua Kama wanapendana au la

Ushauri: Wadogo zangu Giggy Money na Mo Junior, hizi Kiki zimepitwa na wakati, naombeni yaishe mlee mtoto

Wakati mnatongozana hatukuwepo sasa mmeshazalishana na kupigana mechi mnatuletea vurugu kwanini msizimalize kimya kimya?!

Woi

Wale wanaosema Hawa wawili wanapendana wanyooshe vidole juu

Wale wanaosema Hawa watu waachane wanyooshe kidole cha mwisho juu

Wale wanaosema haya mahusiano hayataendelea kamwe bora Mo junior ajikatae mbele wanyooshe kidole cha Kati juu

Nawatakia asubuhi njema
Nimependa uandishi wako.
 
Huyo dogo sijui Mo yuko very smart. Anajibu maswali kisomi.

Nimejikuta naangalia hiyo mahojiano yake, yuko vizuri dogo.

Huyo gig money hana akili.

Lakini hili liwe somo kwa wanaume wenzangu, never trust a woman, ona huyo gigy alikua na huyo dogo na anadai alikua anampenda sana ila bado akawa anatafunwa na mshikaji mwingine mwenye hela.

Ukiwa na mwanamke wako mzuri hata kama anakwambia anakupenda vipi usimuamini 100%, atakua anamegwa tu.

Hela ni sawa na silaya ya nyuklia kwa mwanamke kama anasumbua tumia hela, unakua umemmaliza, anavua chupi mwenyewe.

Nishakula wanawake kibao sana, wana wanaume wao wanawapenda sana ila wakashindwa kuresist pesa, pesa kwa mwanamke iko juu ya mapenzi.
 
Back
Top Bottom