GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
WASAFI na Gigy money ni marafiki wa karibu, gigy money alishasema live kuwa anamkubali Diamond Platinumz zaidi ya Alikiba.
hivi karibuni gigy alitembelea studio za wasafi na kupost video ikionyesha akienjoy na wasafi, pia video moja ikimuonyesha akimlazimisha rayvany kurekodi nae selfie video huku rayvany akikataa kwa kusema anafamilia.

Inakoelekea Gigy Money atasaini wasafi​
 
Kwa kweli si vigumu kuwa a star Tanzania. Inatakiwa usijitambue, uwe na mkorogo, tako kubwa hata kama sura mbaya it's ok, na ujidhalilishe.
 
Na mie nkajiuliza kulikoni?.. Kaisha imebaki mifupa tu au ndo mambo ya kushindia maji tu?[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Atakuwa aliugua sana,maana huyo hawezi kujikondesha kwa kupenda as anapenda sana kuonyesha makalio yake.Inaonyesha anapenda kunenepa.
 
Huyo binti ni wa kuonewa huruma, anaonyesha kabisa dalili zifuatazo: Baba ambaye ni mlevi sana, Baba aliyekana mtoto au kukimbia majukumu ya kulea, Baba baunsa wa kina mama, na tabia zinazofanana na hizo.
 
Atakuwa aliugua sana,maana huyo hawezi kujikondesha kwa kupenda as anapenda sana kuonyesha makalio yake.Inaonyesha anapenda kunenepa.
Umeona eee! Maana si kwalimsabwanda lile, sa hivi kakongoroka yani daaah...nadhani hata tatoos akichora haoneshi km zama zileee[emoji81] [emoji81]
 
Back
Top Bottom