GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

GIGY money afanya balaa kwenye Studio za wasafi classic, Rayvany alazimishwa

Upumbavu mtupuuuu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Hivi kazi yake mjini ni Nini huyo G Money.

Sent From Samsung S9 edge using JamiiForum mobile app
 
Siku hizi anajiita "Gigy wa Taifa"(yoyote anapita naye)

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app

nguo za kiarabu zile, hazina uhusiano na dini
 
Halafu eti boss wa wasafi amevaa kanzu kilemba full muislam lkn amekaa na kahaba hapo ni full zambi #Lana%hizoo@%#

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kanzu na kilemba ni kama mavazi mengine tu......akili za utumwa wa kiarabu utazijua tu!hivi ukivaa kanzu &kilemba ndo umeshakuwa muislam ?ticket ya kwenda mbinguni?
 
Kwa kweli si vigumu kuwa a star Tanzania. Inatakiwa usijitambue, uwe na mkorogo, tako kubwa hata kama sura mbaya it's ok, na ujidhalilishe.
Sasa kwa mikucha hiyo hiyo papuchi inaoshwaje daah

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Inaelekea studio ilikuwa kwenye STINKY situation
 
Unategemea nini
Mtotot kayajua mambo miaka 15 malezi ya mama yanavhangia sana muone black chyn mama alikuwa papa sasa mtoto kawa kuzidi baba nani wa kumtuliza mwenzie
 
Back
Top Bottom