Gigy money aitosa mahali ya milion 5 anataka 10-15

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habali kinavyo jieleza hapo juu

Yule mdada asiye ishiwa vituko ambaye ni host wa tv na msanii wa kizaz kipya anayejulikana kama gift stanfod aka gigy money amedai yeye hawez olewa kwa mahali ya milion tano maana hiyo hela ni ndogo sana hivyo anataka kumi had kumi na tano

Gigy money amedai kuwa kuna jamaa alienda home kwao akaambiwa atoe milion kumi, lakin jamaa aliomba kupunguziwa kidogo kama milion tano hivi kakin gigy alikataa na kudai kuwa yete sio wa bei hiyo yeye thaman yake ni milion kumi had kumi na tano

Gigy amedai ana nyota kubwa sana maana hapo awali ashawahi chumbiwa kwa mahali ya milion saba lakin nayo pia aliikataa




LONDON BABY
 
Kweli ni Gigy Money
 
Yule halali yake labda laki moja.....huyo alotoa mil.5 labda alilenga wataftiane kiki na Gigy wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…