Gigy money aitosa mahali ya milion 5 anataka 10-15

Gigy money aitosa mahali ya milion 5 anataka 10-15

huyo labda wamnunue wazungu wapelekee mbwa wao..
 
Milioni 10-15 ana nini cha ziada ambacho wanawake wengine hawana...Kazi kwelikweli wanawake wa digitali!!
Labda hatujamuelewa Giggy Money, "kuoa" au "mahari" yaweza kuwa tungo tata, lada hamaanishi kuolewa kama tujuavyo, mahari yawezekana kwake ni dau, kuolewa kwake ni mambo ya kimwili!
Kiswahili kigumu aise...
 
Kadai thaman yake ni kubwa sana maana kuna jemba ashawah kwenda na milion saba akamutosa

Thamani yake kubwa kivipi? She doesn't understand. Wenye thamani kubwa hawataki hata senti moja. Isije kuwa kero mbele ya safari.
Unatoa mahari milion 15 halafu baada ya miezi sita ngoma chali

Idiot.jpg
 
Huyo jamaa namfahamu ni prodyuza wa picha za ngono alitaka kumfanyia biashara
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Kama kichwa cha habali kinavyo jieleza hapo juu

Yule mdada asiye ishiwa vituko ambaye ni host wa tv na msanii wa kizaz kipya anayejulikana kama gift stanfod aka gigy money amedai yeye hawez olewa kwa mahali ya milion tano maana hiyo hela ni ndogo sana hivyo anataka kumi had kumi na tano

Gigy money amedai kuwa kuna jamaa alienda home kwao akaambiwa atoe milion kumi, lakin jamaa aliomba kupunguziwa kidogo kama milion tano hivi kakin gigy alikataa na kudai kuwa yete sio wa bei hiyo yeye thaman yake ni milion kumi had kumi na tano

Gigy amedai ana nyota kubwa sana maana hapo awali ashawahi chumbiwa kwa mahali ya milion saba lakin nayo pia aliikataa

View attachment 589388


LONDON BABY
Ana bikra????
 
Kwa ndoa hapana, labda nitoe kama muwekezaji ambaye nitajilipa kwa kukusanya hela za wateja wake wa PAP*. Efd itabidi ihusike
 
Nani aharibu ela zake kwa putas kama huyo?? Huyo mwanaume alietayari Nina mshauri akapande tu hizo ela zitaota kuliko kutoa zote hizo kisa gigy
 
Ajabu la nane la dunia hili........
Et mil 5 thubutuuu gigy ata kwa sent 2 sioi msiiiiiew
 
Back
Top Bottom