DCI Comrade One
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 557
- 718
Halinogiii kwa lugha yetu tunaliita limbujaTindi la muwa hilo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halinogiii kwa lugha yetu tunaliita limbujaTindi la muwa hilo.
Ina Tv ndaniMilioni 10-15 ana nini cha ziada ambacho wanawake wengine hawana...Kazi kwelikweli wanawake wa digitali!!
Absolutely. Apimwe akili piaKwanza huyo mwanaume anayetaka kulipa hiyo mahari inabidi apimwe mkojo kwanza,
Isikute anatafuta punda wake wa kubeba mizigo.
[emoji1] [emoji1] m5 kwa tindi la muwaYule halali yake labda laki moja.....huyo alotoa mil.5 labda alilenga wataftiane kiki na Gigy wake
Ikibidi na kimbaSiyo mkojo mkuu
Pamoja na hayo bado anazingua...Ndio yaleyale ya SanchokaLabda hatujamuelewa Giggy Money, "kuoa" au "mahari" yaweza kuwa tungo tata, lada hamaanishi kuolewa kama tujuavyo, mahari yawezekana kwake ni dau, kuolewa kwake ni mambo ya kimwili!
Kiswahili kigumu aise...
Unakuta TV ya chogo black/white sasa sio smart TV hahahaIna Tv ndani
Nadhani usupastaa ndio unampa kiburi asingekuwa staa hata kwa gunia mbili za nyanyachungu na bamia unajibebea mtotoMkuu kadai thaman yake anaijua mwenyewe
SAVAGE [EMOJI23] [EMOJI23] [EMOJI23]Kwa k gani aliyonayo na domo lake pana hilo chetuu