Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mungu wangu, Mungu simama na hawa wanaume uliotuambia ni vichwa sasa sijui sie mikia tufanye yepi kama kichwa kimepoteza dira hivi, looo! Aibu naona mimi kumtazama huyo Jack, pole sana mama .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona ulivyoshika mdomo hapo.
Wallah ningekuwa mimi ndio huyo mkewe ningeachana nae, maana nisingeweza kuondokewa na hii picha milele.
 
Fact!
Huwa nawaambia wanawake wenzangu hilo suala huwa hawasikii. Baadae ambayo huwakuta wanaanza kunionea aibu.
Ndio haya sasa ya kuaibishana acha waone haya tu maana wanayataka wenyewe wanawaumiza vijana innocent wenye mapenzi ya kweli kisa hawana pesa wanakimbilia pesa ndio haya sasa.
 
Sio wote aiseee
 
Mkuu don't try to underestimate him.. He is a classic guy, I know him in personal.. Tatizo lake pekee ni kuutaka ustar kwa nguvu na kuwaona mastar kama miungu watu hivi..
Siwezi kumu underestimate hata kidogo msomi na mwenye hela zake.....lakini kuhangaika na akina gigymoney hakuendani na status yake.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona ulivyoshika mdomo hapo.
Wallah ningekuwa mimi ndio huyo mkewe ningeachana nae, maana nisingeweza kuondokewa na hii picha milele.
Kinacho uma zaidi ni aina ya mwanamke aliekuwa nae, mumeo kuwa na kahaba dah! inauma unajiuliza umekosea wapi?!
 
Kweli binadamu tuna shida. Pole familia ya mwanasheria
 
Uwiiiiiiiii mwasu una storiiiiiiiii hahahaaaa.

Kuliko niwe na mwanaume wa hivyo bora nife masikini tu. Bajaj na toyo sio kitu
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
aisee kama kuna kitu cha kuombea kwenye ndoa ni kuomba mwenzi wako awe na hofu ya Mungu
vinginevyo jaman utalia sana sana
namkumbuka chuo albertho alikuwa anatoka na demu mmoja Christina Tungaraza, huyu mdada Mungu alimuokoa na akampa familia bora sana aliolewa na mtu mwingine. kwa uzuri wa Tina uwiii na huu uchafu aisee angezimia
 
Uwiiiiiiiii mwasu una storiiiiiiiii hahahaaaa.

Kuliko niwe na mwanaume wa hivyo bora nife masikini tu. Bajaj na toyo sio kitu
watu wanakomaa kwa ajili ya watoto, ukiwa mke tegemezi huna chanzo chochote cha mapato, utaumia sana maana ukiangalia wanao uende nao wapi wameshazoea mkate siga na school bus mpaka mlangoni unakomaa, mwisho unaambulia gonjwa..
 
Nimemdharau kupita maelezo msando
noo onea huruma mke wake na kama ndo uyo apo kwenye picha
hebu jiulize kakosa nini dada wa watu?
hivi na huyo mwanae anamdhalilisha kiasi gani?
mambo mengine ni ya vijana ambao hawajaoa ila ukioa/olewa basi uachane nayo na kama unafanya basi ufanye kwa namna ambayo hayata kudhaalilisha kiasi hiki
 
Si huwa mna kamsemo kenu 'heri kulia ndani ya range rover kuliko kucheka kwenye daladala'
Pesa tamu lakini sio hii. Kuna raha gani kama hapo mke wa Msando kila aendapo watu hawatomtazama kwa heshima, na hiyo yote ni sababu ya kuwa na mume mzinzi!

Heshima ni kitu bora zaidi ktk jamii.
 
Siwezi kumu underestimate hata kidogo msomi na mwenye hela zake.....lakini kuhangaika na akina gigymoney hakuendani na status yake.
Bill Clinton alitembea na housegirl wake.. Lots of ballers wanatembea kingono na pornstars.. It's just sexual desires or fantasies, nothing serious there kaka.. Ungeweza kujudge kama angekuwa kumuoa hiyo mwanamke, ila hit and run sioni tatizo maana kila mwanaume ana mess around..
 
Pesa tamu lakini sio hii. Kuna raha gani kama hapo mke wa Msando kila aendapo watu hawatomtazama kwa heshima, na hiyo yote ni sababu ya kuwa na mume mzinzi!

Heshima ni kitu bora zaidi ktk jamii.
Sasa utabaki na mimi kapuku nisie-cheat (au sometimes na-cheat vile vile) ule mchunga na matembele sio?
 
if this is what you are calling 'mess around' poleni sana
 
Haya mkuu alichofanya wakili msomi ni sawa tu kwasababu wanaume wote tuko hivyo.
 
Pesa tamu lakini sio hii. Kuna raha gani kama hapo mke wa Msando kila aendapo watu hawatomtazama kwa heshima, na hiyo yote ni sababu ya kuwa na mume mzinzi!

Heshima ni kitu bora zaidi ktk jamii.
Mama Hillary Clinton alisimama na mumewe wakati dunia nzima ilijua alimbaka mtumishi wake.. Kuna vitu mnavi overestimate sana.. Alberto messed up, aombe msamaha asamehewe maisha yaendelee..
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…