Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama nakuona ulivyoshika mdomo hapo.Mungu wangu, Mungu simama na hawa wanaume uliotuambia ni vichwa sasa sijui sie mikia tufanye yepi kama kichwa kimepoteza dira hivi, looo! Aibu naona mimi kumtazama huyo Jack, pole sana mama .
Wallah ningekuwa mimi ndio huyo mkewe ningeachana nae, maana nisingeweza kuondokewa na hii picha milele.