Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Wacha we!! Kwani huyo unaedondoka nae kwenye kadhia ni mwanaume mwenzio? Basi wote tuombeane.
 
Ampe uhuru wa kufanya uhalifu wa ndoa!! Kwahiyo kosa moja linahalalishwa na kosa lingine!!!
Hizi ndoa mnazitolea kwenye Instagram tu,... Hujui yaliyomo chini ya kapet la bwana msando..... Ulichoelewa hapo kinaitwa hekima ya mkosaji na uhuru wa mkosewaji.... Huwezi jua hasira aliyo nayo mkosewaji na si vyema kumbana asilipize kisassi.... Mpe uhuru, mpe nafasi, wa kukosea atakosea tu na wa kuchukulia atachukulia.....

Kwa uelewa wako ni Kama unasema msando akamshikie Mke wake mguu akiwa analiwa.... F@&$)@$()
 

Wapi nimesema akamshikie mguu? Au wewe ndio unawaza hivyo!!
 
Wacha we!! Kwani huyo unaedondoka nae kwenye kadhia ni mwanaume mwenzio? Basi wote tuombeane.
Nyie ndio muombe zaidi.. Ni rahisi sana kwa mwanaume kuchepuka kuliko mwanamke.

Na wengi ya wachepushaji ni single ladies ambao hata hawako kwenye ndoa..
 
Haupo safe anywhere, Ila bar/usiku ni hatarishi zaidi
 
Nyie ndio muombe zaidi.. Ni rahisi sana kwa mwanaume kuchepuka kuliko mwanamke.

Na wengi ya wachepushaji ni single ladies ambao hata hawako kwenye ndoa..
Mnavyojua kujitete sasa, utadhani huwa mnashikiwa bunduki.
 
Haupo safe anywhere, Ila bar/usiku ni hatarishi zaidi
Usimwamini mwanaume anayekesha bar usiku tena kila siku.. Alafu unakuta anayempotezea muda huko kila siku ni bar maid ambaye hata darasa la saba kuliona ni aliliona kwa shida.. Hawa bar maids ni washirikiana sana asikwambie mtu.. Nishaona watu mpaka wanabadilisha dini zao na kuwaoa kabisa na kuwaweka ndani huku mke akiachwa solemba..
 
Si mmewafuata, kwani wanawafuata majumbani mwenu?
 
Mmh Roho imeniuma[emoji27] [emoji27] [emoji27]
 
mimi ndo nilimtuma. tumia busara ww. Mimi na wewe nani bwege.

.jamani nimesahau kauli ya Kum ignore mtu. ila kuna watu wanamaudhi. midomo yao imejaa maudhi tu.
au ww ndo Albert. unalo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…