Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Hii si uongo yakhe maana nikikumbuka enzi zetu za udom tulikua tunaruka madude nao hawa mbwa alafu ni ving'ang'anizi balaa yanatuma tu wanaume wenzao yaje yawafatie mizigo
Ndicho tulichokutuma Udom ukatumie kodi zetu
 
Wanawake hatuna akili za hivo, yani hapo ndo kwanzaaa gigy anajiona mtamu kuliko mke, anafanya mashauzi, anajiona bora hawezi kuomba msamaha
Na wife anaweza akalipiza kwa kisasi kwa gari...

Yani akili zenu mnazijua wenyewe wallah
 


Hatutetei uchafu kwani hili ni tendo la ndoa tukufu kama unaona uchafu kwako sawa, ila ukumbuke hao wanaume wanaofanya haya matendo hawafanyi peke yao, wengi wanafanya na wake za watu pia na ndiyo maana unakuta wanawake wengi wamezaa watoto tata, yaani hawafanani na baba zao wala mama zao. Hii yote ni kwa sababu wanawake wengi hapa Bongo wanatoka kimapenzi na waume za watu au wauza uzuri na maji mitaani.
 
Mnasimamia kucha kuvunja ndoa za wenzenu.... As am speaking shemeji tupo nae hapa the don..... Ni muelewa si kitenesi Kama wanawake wajingawajinga wenye akili Tope Kama wewe. Pumbavu.

Kama ni kweli mwambie mkuu kachemka. Kaomba msamaha tayari na yameisha

Ila msamaha hauji bila mtu kufundishwa consequences

Arekebishe ndoa yake na kama Jack kamsamehe vema
Mpeleke chemba tufundishane kufanya vituko "responsibly"
 
Nimecheka sana alivyo malizia walahi! Eti ma***o yake hahahaha
 
Hapa.unatikisa ndoa ya mtu mwanawani... Mmmmh... Labda jina liwe la uongo
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…