Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah
Ww vp uliyaka waachane? Ndoa uvumilivu..kwa hy na ww ukikosea na ss wanaume tufanyeje?
 
Nimecheka kusema mazuri. Eti bampa to bampa. Picha za Nsia hazina ubaya wowote... Siku hizi picha kama hizo zimezagaa mitandaoni. Tena wengine ni watu ambao si malaya na wanapiga picha half naked ( eg. Beyonce). Alijipiga picha kufuraia kazi ya Muumba. Hakuwa anapimwa oil. Kama mkewe aliolewa ki ushindani lazima akomae na hiyo ndoa kwa wasiwasi wa kuchekwa. Nina rafiki yangu anakaribia kufa ndoani maana aliolewa na player na kila mtu alimtahadharisha. Leo anaogopa hata ku share stress zake na hata ndugu akihofia zile za 'tulikukanya hukutaka kutusikia'
wanawake sijui shida yetu nini yaani penye ligi ndio tnapataka, pale mwanaume asie na mlolongo wa wanawake akijitosa anadenguliwa, ndio ya Ruge, na Zamaradi, zama kutwa kuchambana na mademu insta kisa ruge, ngoja tuwaone nao mwisho wake.
 
Ww vp uliyaka waachane? Ndoa uvumilivu..kwa hy na ww ukikosea na ss wanaume tufanyeje?
Niffah hii ishu naona unaifuatilia sana, seems alberto aliwahi kukupiga na akakuacha sasa unaona hapa ndipo pa kulipia. But ukweli hakuna ndoa kuvunjika na huu ni upepo tu.
Je wewe una usafi kiasi gani? Vile picha imeleak bahati mbaya.

Tuacheni unafiki. Toka juzi naona unachamgia tu na kutia maneno ya kuponda.

Wewe hujawahi kucheat? Jibu kaa nalo.

Alberto unarushiwa mawe coz ua mafanikio yako ktk taaluma.
 
Huyu jamaa kazoea haya mambo, yaani pesa ilimpa ujuha akaona kufunua sketi ni akili, mkewe ana kazi ya ziada, ila mimi naona kwa mabinti ambao bado hawajaolewa kujifunza, ukiona mpo wengi kila siku unaambiwa sorry baby, achana na huyo jamaa maana atakuumiza milele 'chizi hua haponi kabisa, halafu wanawake ni wepesi sana kudanganywa kuna video ilikuwa inasambaa whatassp jamaa anafumua marinda binti akaanza kulia baby hunipendi hunipendi, usinifanye huko jamaa likasema BABY NAKUPENDA SANA, kusikia hivyo binti kalegea akawa anamsaidia jamaa kubinua tako na kulia naumia, huku rinda linachnwa, yaani mapenzi haya sijui tu wanwake why yanatuumiza hivi.
Kuna wanawake hawajielewi tu hata uwatandike na bakora, mwanaume anayetaka jicho huyo hakupendi hata kidogo maana asingetaka kukuharibu.
Mwanamke anasema kabisa bora nimpe asije akaniacha pumbavu kabisa amekuwa Mungu huyo uogope akuache.
 
Wajinga sana eti asije niacha sasa kama kala mbele katosheka unamgeuzia nyuma ili asiende akitosheka nyuma utampa wapi? Yaani ni bora wamkosee Mungu kwa kungiliwa nyuma kuliko kuachwa na mwanaume?! Wapumbavu zaidi ya upumbavu wenyewe.
 
Mnamuonea tu Msando! Na yeye ni binadamu wa kiume!
Kwaio kua binadamu wa kiume kunakupa cheti cha kufanya ushenzi ukijua wewe ni baba wa watoto na mume wa mkeo?
Basi aendelee kupima oil nyingine zaidi na zaidi
 
Kwaio kua binadamu wa kiume kunakupa cheti cha kufanya ushenzi ukijua wewe ni baba wa watoto na mume wa mkeo?
Basi aendelee kupima oil nyingine zaidi na zaidi
Sasa hiyo inamuhusu mke wake. Nyie kelele za nini? Nyie ni watakatifu?
Katika dhambi zote duniani hiyo ndio inaongoza.
.
.
Yes kakosea. Na kila binadamu anakosea!
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah

Acha utoto. Huo wivu unawafaa vibinti wa under 25. Ukishakua mama unakuwa na akili za kiutu uzima. Mwanaume hawezi kula kwako tu kila siku.

Ila la muhimu ni jamaa ana vijisenti. Na hata huyo mkewe akikasirika aende wapi? Kuna mwanaume asiyekula vya nje?
 
Huyu Msando si kaoa jamani? Uchafu gani huu?
Kiukweli hapa tu ndipo huwa nshindwa kuwaelewa wanawake wenzangu. Mwanaume pamoja na uchafu huu bado atakuwa proud nae! Dah

Money talks friend. Angekua kapuku hakuna mwanamke angevumilia upuuzi anaofanya.
 
wanawake sijui shida yetu nini yaani penye ligi ndio tnapataka, pale mwanaume asie na mlolongo wa wanawake akijitosa anadenguliwa, ndio ya Ruge, na Zamaradi, zama kutwa kuchambana na mademu insta kisa ruge, ngoja tuwaone nao mwisho wake.
Haha daah nimekumbuka kile kipindi Ruge kawishiwa happy birthday na zama, ray c na yule dada mwingine. Sasa zama atagombana na wangapi, atulie tu maana na wanawake tulivyo fyatu + fursa kwa Ruge, khaa unabeba tu mimba yako unasubiri child support, zama anune apasuke wenzie hawajali. Kama mwanaume ni malaya utajidhalilisha tu kugombana na wanawake wengine, piga kimya fanya yako au muache kama huwezi.
 
gigy acha kulia lia umalaya wako umekuponza ukakutana na kiboko yako
 
Mnamshangaa msando, siku ukibahatika Kuingia 84 au Maisha club Dodoma mbona utabaki mdomo wazi, Kuna waheshimiwa wanajua kubambia na kubahishia, utazani beberu.
😀😀😀😀😀😀
 
Ambao hamjaiona video nendeni kwa shilolekiuno_official (shishi boy)
Mimi nimeionea huko.
Mange kaiweka na kuifuta ndani ya sekunde, sijui Msando kampandia hewani? [emoji23][emoji23][emoji23]
Umbea mtupu!
 
Gigi Money anasema alikuwa hamjui Albert Msando wala alikuwa hajawahi kumsikia, aliambiwa kuna mtu anakuhitaji anamiliki club basi akaenda akaspend nae time na walipokuwa garini akarekodi video kutupia kama anavyotupiaga picha za wengine anaotoka nao,kesho yake akaona video imekua gumzo

Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom