Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Mimi naweza kua ni mzigo kwa mama yangu lakini huyu ni hasara tupu si kwa mama yake tu Bali kwa Taifa zimaa, ifike sehemu serikali ifungie watangazaji kama hawa
 
Giggy ni babeli Yule kahaba mkuu na kikombe chake wameshakinywea watu wengi maarufu na wenye pesa,,,, tamaa inatuponza kwakweli
 
So huyo gigy ni matope
Ms Lincolin Mpe hai Mr. Abraham Lincolin mwambie mkulu kasahau kabisa 'Government of the people by the people for the people'

KwA mlioona video mtusimulie yaliyomo wengine hatujaiona tunasikiasikia tu
 
Wanawake mnaochangia hapa mmekosa kufahamu kwamba

Trump alichomeka vidole hadharani akini hii haimfanyi asiwe baba,raisi bora
Pokello nare ana sex tape lakini kaolewa na katulia.
Desire luzinda ana sex tape lakini katulia.
Zari wifi wenu wa taifa ana sex tape lakini katulia kwa chibude
Mapenzi tumeumbiwa binadamu hatuwezi kukwepa wewe kama ina mume wako hatembei nje basi mchunguze vizuri.

Giggy money yeye ni stuner,working girl anaetaka kiki muda wote na hiyo ni marketing merchandising kubwa kwake ukitazama hiyo video ilipokuwa inachukuliwa giggy alikuwa bado hajalewa anaomba redbull amix na hennessy. All in all we can run away from nature(Sex)

Wacha bwana.kwa hiyo akifanya trump na zari inahalalishwa.jamaa unaufahamu sana
 
ni sawa kweli sote tu binadamu na huwa tunakosea.
ila je msamaha huu unaoomba unaomba ili tu isemekane kwamba umeomba ama unamaanisha?
kwa mashabiki zao/followers kwenye page yako sidhan kama hata wana sabb ya kuombwa msamaha.
msamaha kamuombe kwanza Jack tena kwa kumaanisha, kisha umuombe na kido wako hao umewakosea sana na ndio watu wa inner circle yako. sisi wengine ni marafiki lkn we dont care what you do thats your life. ila kuna unaoshea maisha hao kawaangukie sana sana.

umewaumiza sana, hata uandikeje maumivu yake hayabebeki. nimewaza kama mke (not to u) na kama mtoto wako ambavyo anawaza sasa hivi.

jambo jingine hebu kaa na that lito boy try to learn kama kawa bullied kwa sabb ya hii video knowing mashulen yanayotokea ni zaidi ya mnavyofikir. usidharau hili. na ikiwa ndio try to make it right on spot. asiendelee kuumia zaidi.

gheeeee nimekujibu utafkir naongea na Betho mweeeh!!
Me naona hayupo serious maana bado anaweka hashtag ambazo anaonekana kabisa anafanya mzaha
 
f8f40fc6305f49b96fd75762dbc5302e.jpg


Mama msando mwenyewe huyu hapa
 
We ndio Tina. Calm down
wala sitikisi kwan huyo aliye nae hajui kwamba kabla yake huyu alikuwa na boyfriend?

anajua kwamba alikuwa nae na izo ni past wameoana wanaish kwa amani na furaha tele na hivi wamebarikiwa usipime.
Mungu ni wa neema sana alimwona Tina akamvuta toka kwenye hili
 
Kama Mungu yupo na moto upo basi huyu gigi mane ni wakala wa shetani na hana hadhi ya kuitwa mtu bali shetani, nyambaf....

Disgusting hore
 
Judgmental society.

Giggy anaishi maisha yake, mbona mnamtukana sana?

Nyie ndo watakatifu?
 
Kiukweli huyu mdd hua simuelewagi kbs yanikila raia yeye hamtambui.?
Halafu na hawa wanaume zetu jamani sijui nini shida Albert na gigy wapi na wapi.? Dah pole sn msando na familia yake
Wapi na wapi? Wanaume unawajua unawasikia?

Ukiona mko na Jamaa yako, mkaangalia picha ya gigy na mitego yake alafu akasema, hili lidada nalichukia...kaa ukijua moyoni kwani ni opposite kabisa.
 
Wapi na wapi? Wanaume unawajua unawasikia?

Ukiona mko na Jamaa yako, mkaangalia picha ya gigy na mitego yake alafu akasema, hili lidada nalichukia...kaa ukijua moyoni kwani ni opposite kabisa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka kwa nguvu wallah Alhamndulillah[emoji4]hy wanaume kazi kwenu jipigieni tuu mana hakuna namna
 
Eeeh, tamaa mbaya, mkewe ni chombo safi, tena amekamilika. Mama Msando, wewe ni chombo hasa, naomba umsamehe tu mumeo usimhesabie makosa, shetani alimpitia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom