Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Hii si uongo yakhe maana nikikumbuka enzi zetu za udom tulikua tunaruka madude nao hawa mbwa alafu ni ving'ang'anizi balaa yanatuma tu wanaume wenzao yaje yawafatie mizigo
Ndicho tulichokutuma Udom ukatumie kodi zetu
 
Wanawake hatuna akili za hivo, yani hapo ndo kwanzaaa gigy anajiona mtamu kuliko mke, anafanya mashauzi, anajiona bora hawezi kuomba msamaha
Na wife anaweza akalipiza kwa kisasi kwa gari...

Yani akili zenu mnazijua wenyewe wallah
 
Hivi nyie mnachokitetea ni kipi hasa? Kwahiyo kuwa mwanaume tena uliyeoa ni sifa kufanya uchafu huu na kujirekodi?
Leo hii mkewe na familia yake kiujumla imedhalilika kiasi gani?
Huyo Msando kama mwanasheria anayeheshimika kajivua heshima kiasi gani?


Nachelea kusema kwa kutetea uchafu huu nyinyi ni wanaume wa hovyo kabisa!


Hatutetei uchafu kwani hili ni tendo la ndoa tukufu kama unaona uchafu kwako sawa, ila ukumbuke hao wanaume wanaofanya haya matendo hawafanyi peke yao, wengi wanafanya na wake za watu pia na ndiyo maana unakuta wanawake wengi wamezaa watoto tata, yaani hawafanani na baba zao wala mama zao. Hii yote ni kwa sababu wanawake wengi hapa Bongo wanatoka kimapenzi na waume za watu au wauza uzuri na maji mitaani.
 
Mnasimamia kucha kuvunja ndoa za wenzenu.... As am speaking shemeji tupo nae hapa the don..... Ni muelewa si kitenesi Kama wanawake wajingawajinga wenye akili Tope Kama wewe. Pumbavu.

Kama ni kweli mwambie mkuu kachemka. Kaomba msamaha tayari na yameisha

Ila msamaha hauji bila mtu kufundishwa consequences

Arekebishe ndoa yake na kama Jack kamsamehe vema
Mpeleke chemba tufundishane kufanya vituko "responsibly"
 
2b87e5f7c7eb885353ce7a7d7519c2bb.jpg
msamaha. Com.
Hana hata wasiwasi
Gigy yeye hana habari

Kwake kama hakijatokea kitu

2b87e5f7c7eb885353ce7a7d7519c2bb.jpg
msamaha. Com.
Hana hata wasiwasi
 
Nimecheka sana alivyo malizia walahi! Eti ma***o yake hahahaha
 
aisee kama kuna kitu cha kuombea kwenye ndoa ni kuomba mwenzi wako awe na hofu ya Mungu
vinginevyo jaman utalia sana sana
namkumbuka chuo albertho alikuwa anatoka na demu mmoja Christina Tungaraza, huyu mdada Mungu alimuokoa na akampa familia bora sana aliolewa na mtu mwingine. kwa uzuri wa Tina uwiii na huu uchafu aisee angezimia
Hapa.unatikisa ndoa ya mtu mwanawani... Mmmmh... Labda jina liwe la uongo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom