Albinoomweusi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 3,433
- 8,585
video iko wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijamjua cuzoo! [emoji85]Huyu na yule Mzee wa vyuma vimekaza(nadhani ushamjua) ni shida cuzoo ukikutana nao kwenye zile chocho unaweza kuzimia!! Cha msingi ni kua mpole tu usimsemee mwanaume maana akiliamsha dude na kama hivi kila mtu anajuaaaa!!
Nimeshaiona mpenzi, sitaki hata kuangalia huo uchafu mara 2.Cuzo ninayo unaitaka[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] one in the millionKama Alichokifanya Msando na Gigy ndio wema wenyewe kwa mkewe basi wanaume mama msando kapata hasara
Nimekasirika kuona mwanaume aliyeoa tena anayejipambanua kwa mbwembwe kibao kufanya ushenzi wa kiwango hiki.Yani umekasirika gigy money kupapaswa?
Afu ukute shemeji ni mtu wa kuji proud kwa mashosti kuwa mume anampenda. Hapo ndo utajua chai ya moto na pilipili kichaa inalika vizuriNamuhurumia mkewe tu jmn,sijui presha iko ngapi
Maana ningekua mm ht kukaa kusimama kucheka kununa ningeshindwa si kwa aibu ile
Heri afanye huko kimya kimya sio km vile mpk wanangu,ndugu waone
Huruma[emoji27]
Huyo Mzee wa Mwanza Mwanza nae ni habari nyingine. Sema wengi mjini tunawaona tu watu flani descent ila upande wa pili ni wanaume usiowadhania kabisa. Mwanaume ataendelea na atabaki kuwa mwanaume.Huyu na yule Mzee wa vyuma vimekaza(nadhani ushamjua) ni shida cuzoo ukikutana nao kwenye zile chocho unaweza kuzimia!! Cha msingi ni kua mpole tu usimsemee mwanaume maana akiliamsha dude na kama hivi kila mtu anajuaaaa!!
Gwandomo!Kapyungu = muongeaji sana, in short mmbea, mama alikuwa anatutania sana tukimsemelea
Anaitwa bird[emoji3]Sijamjua cuzoo! [emoji85]
Alikuwa anaumwa nnAlikuwaga advocate hapo A town
Wanaume tupo wachache sasa kila mmoja akitulia na mkewe hao wanawake wa pembeni nani atawakunaAcha tu cuzoo! Nimekasirika utadhani Mimi ndio nimefanyiwa hivyo.
Ejhaaa.......Gwandomo!
Ahahaaa sipati picha hizo mbio za kuwahi pcNaona umechelewa aisee! labda wameishaiondoa, mie nilishindwa kuifungua kwa simu ikabidi niwahi kwenye pc tena iko very clear kabisa.