Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
Huyu na yule Mzee wa vyuma vimekaza(nadhani ushamjua) ni shida cuzoo ukikutana nao kwenye zile chocho unaweza kuzimia!! Cha msingi ni kua mpole tu usimsemee mwanaume maana akiliamsha dude na kama hivi kila mtu anajuaaaa!!
Sijamjua cuzoo! [emoji85]
 
Namjua msando personally yaani kwa ukaribu kabisa..kifupi ni binadamu mwenye udhaifu sana linapokuja suala la wanawake..kiasi kwamba huwa namshangaa na umri wake umetembea sijui anatufundisha nini sisi wadogo wake ...
 
Namuhurumia mkewe tu jmn,sijui presha iko ngapi
Maana ningekua mm ht kukaa kusimama kucheka kununa ningeshindwa si kwa aibu ile
Heri afanye huko kimya kimya sio km vile mpk wanangu,ndugu waone
Huruma[emoji27]
Afu ukute shemeji ni mtu wa kuji proud kwa mashosti kuwa mume anampenda. Hapo ndo utajua chai ya moto na pilipili kichaa inalika vizuri
 
Huyu na yule Mzee wa vyuma vimekaza(nadhani ushamjua) ni shida cuzoo ukikutana nao kwenye zile chocho unaweza kuzimia!! Cha msingi ni kua mpole tu usimsemee mwanaume maana akiliamsha dude na kama hivi kila mtu anajuaaaa!!
Huyo Mzee wa Mwanza Mwanza nae ni habari nyingine. Sema wengi mjini tunawaona tu watu flani descent ila upande wa pili ni wanaume usiowadhania kabisa. Mwanaume ataendelea na atabaki kuwa mwanaume.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom