Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil

Status
Not open for further replies.
pale kichwa kidogo kinapokizidi maarifa kichwa kikubwa basi hapo huwa hatuna ujanja unapewa tu maelekezo na kichwa kidogo huku kikubwa kikiwa hakipingi kila uambiwacho na kichwa kidogo
 
atajuta kucheza ngoma ya watoto maana haikeshi ngoja tuendelee na move ya kutusahaulisha vyeti feki
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]bahati nzuri haikuwa mbali sana lol!
Hapo afadhali [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mbona hakuna cha maana alichoongea gigy, inavumilika kujua mwenzio anakucheat ila kumuona live dah moyo unaweza kusimama....
Sipati picha mke wake baada ya kuona hivo na msando anavojitahidi kumpost kujifanya anampenda pole mke wake
Usipate shida

Kama anaweza kuwashawishi majaji wawili watatu sembuse mke mmoja
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaona range huduma zake kubwa bora vits mafuta 10 gari inachemka
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom