Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Msando ni mwalimu mpaka ujifunze kutoka kwake??Namjua msando personally yaani kwa ukaribu kabisa..kifupi ni binadamu mwenye udhaifu sana linapokuja suala la wanawake..kiasi kwamba huwa namshangaa na umri wake umetembea sijui anatufundisha nini sisi wadogo wake ...