kiroboto21
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 887
- 325
Niliwahi mjaribu anipe mambo nitampa laki 250 akaniambia niongeze dau hadi 350 duuh ! wakati hapa kwa scop nikiwa na 30 napata 6 na chenji inabaki.
Na hasa kama umetoka mkoaniDar sio sehemu salama
Mkuu Maja kesharudi Magogoni,unafanya mchezo na Dar ilivyo tamu.Ona huyu binti wa mkoani alivyofyatuka, angekuwa Mbeya sasa hvi angeshakuwa kibibi na watoto watanoNdiyo sababu Majaliwa kawaachia Dar yenu mapema
Wehuoni shepulakeAnapenda kuvaa machupi makubwa sijui kwanini
mnyakyusa wa Rungwe huyo..Gigy sio mnyaki boya ww,naisi Ni mla mbwa
Sawa mamaGigy sio mnyaki boya ww,naisi Ni mla mbwa
Dar mnafaidi ntakujaga tu
HahahahahaJana ilikuwa ni siku yao, Dar ndio inaongoza kwa wagonjwa wa akili, serikali imejitahidi kuweka vituo vyao Muhimbili. Milembe n:k.
Kama una nia ya kumsaidia mpeleke kwenye moja kati ya vituo hivyo.
Ila anafaa kwa matumizi ya kitandani.
Huyu mwanamke anavyotangaza ni dhahiri wanaoneanaga wizo sana hasa kwenye hilio eneo la matako.