Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Halafu nisehemu public kama sikosei ni kunduchi beach pale karibu na kunduchi hotel yaani kunawatotohapo nabado wafanyahuo upuuzi
 
Huyu nae akicheza ni kutikisa matako tuu.... yenyewe malaini yametepeta hata ladha hamna. Hivi huwa anavutishwa nini hadi anaamini ni mrembo? Matako na mapaja makubwa ni uchafu asee
 
Jana ilikuwa ni siku yao, Dar ndio inaongoza kwa wagonjwa wa akili, serikali imejitahidi kuweka vituo vyao Muhimbili. Milembe n:k.

Kama una nia ya kumsaidia mpeleke kwenye moja kati ya vituo hivyo.
Hahahahaha
 
Kuna wanawake vichwa vyao ni taaabu tupu na maisha yao yamejaaa shidah ya akili
 
HUYO 0715 USIULIZE......UTAPEWA TU

OVA
 
Back
Top Bottom