Gigy Money ana tatizo gani? Unamsaidiaje? Anatikisa hadi beach!

Sasa tunabishana au? Alikwambia nani mtu akijihusisha na mambo machafu atakwambia kua background yake ilikua ni nzuri?? Labda ije jamii aliyokua akiishibnayobituambie otherwise atakua ana justify uchafu wake tu
yaaa ni kweli ila malezi ya mtoto yanaweza kuwa chanzo cha baadhi ya matendo yake ya ukubwani,
 
Ona sasa amemponza Zamaradi na kipindi chake.Tv na redio zitaogopa kumfanyia interview kuhofiwa kufungiwa..ni bora atengeneze video clips hivi hivi
 
Mwehu tu, kwanza hata sionagi km anajua kucheza, zaidi ya kutingisha tako.
 
Habari kama hizi anazipenda yani mkulu pale Magogoni Dsm!!
 
Wanaume mashoga lazima wamuonee donge, lakini sisi straight men tunapenda picha na video za aina hiyo. Gigy Money kama upo humu tunakuomba upost video clip nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…