Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,529
- 6,095
yaaa ni kweli ila malezi ya mtoto yanaweza kuwa chanzo cha baadhi ya matendo yake ya ukubwani,Sasa tunabishana au? Alikwambia nani mtu akijihusisha na mambo machafu atakwambia kua background yake ilikua ni nzuri?? Labda ije jamii aliyokua akiishibnayobituambie otherwise atakua ana justify uchafu wake tu