Gigy Money anatoka na Matonya

"If you have got beauty without brain..., the private parts, suffers the most.."
 
inaeleka huyu Giggy ana umri mdogo sana au uwezo wake wa kufikiria ni mdogo sana au akili zake ni ndogo sana
 
Hivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
Mkuu mshana ...nakupa kaz moja tu.....mloge huyu demu ili nam nimgegede ......maana watu kibao wanamgegeda
 
Leo nimetafuta interviews zake...
Dahhh.... nimecheka sana mkuu,
Yaani nimeamini kabisa lazima atakua hayupo sawa kwenye Brain fuses
Hamna akili pale haiwezeka kila week ana jambo jipya, yani huwa najiuliza sijui hana ndugu.
 
Kwa hiyo kishaachana na Captain na yule jamaa anaempa laki 5 kwa siku?!
Teh teh teh...wabongo bana.Huyu giggy money alisema kwasasa ana mtu anampa laki 5 kwa siku hivyo akitokea atakayepanda zaidi ya hapo atakuwa naye.Ina maana matonya anatoa zaidi ya laki tano kwa siku?
 
Samahani kama nitakosea ndugu wanajamvi, mbona huyu dada namwona wa kawaida sana. Jamani kuna watu wana maumbo akipita hapo wanaume na wanawake wote wanamtazama. Halafu kwa maneno anayoongea kama ni kweli kama ninavyo yasikia kwenye media hizi basi huyu mtoto kuna "fyuzi" imechomoka kwenye "brain" na nina amini hapa shule ni "zero" kabisa. Maana hajui "kuprocess" nini cha kutamka...yaani nashindwa kuelewa...kama "robot" vile...nimetembea na gadna..eeh ..matonya..eeh...alikiba..eeh.. mara ney wa mitego hajielewi...halafu anapata vipindi kila siku kwenye show?
maana kila kukicha ana jambo jipya...aisee ni shida. Au anasingiziwa jamani? Sijawahi ona mtu kama huyu bongo...mi simpenzi wa maisha ya mastaa ila huyu khaaa..
awe tataa mwe wantu mweee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…