Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,449
- 2,245
gigy ndo nani?
Ndo mpinzani Wa wema sepetu kwa sasa. Teh teh teh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gigy ndo nani?
Huku tuna uhaba wa vyura na sukari aiseeee....[emoji23] [emoji23]Mkuu unapoteza na ww unataka kuwa mwanaume Wa dar? Hahahah
Huku tuna uhaba wa vyura na sukari aiseeee....[emoji23] [emoji23]
Leo nimetafuta interviews zake...Niligundua ni chizi baada ya kusema alizaliwa nje ya mlango wa choo
Pas ipo tatazo umeme wa kuchangia,Kwa mjomba kuna kilio teh
Hata kama ni kauka nikuvae ndo hainyoishwi
Muulize GadnerKwani Gig money supu anauza sh ngapi?
Mkuu mshana ...nakupa kaz moja tu.....mloge huyu demu ili nam nimgegede ......maana watu kibao wanamgegedaHivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
Hamna akili pale haiwezeka kila week ana jambo jipya, yani huwa najiuliza sijui hana ndugu.Leo nimetafuta interviews zake...
Dahhh.... nimecheka sana mkuu,
Yaani nimeamini kabisa lazima atakua hayupo sawa kwenye Brain fuses
Muulize Gadner
Wala sikushauri hakuna kitu hapo njoo uswazi ujioneeMkuu mshana ...nakupa kaz moja tu.....mloge huyu demu ili nam nimgegede ......maana watu kibao wanamgegeda
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi!! Hivi umewazaje hadi ukauuliza hili swali!? Teh teh teh teh tehHivi gigy hana pasi nyumbani kwake, mbona huwa hanyooshi nguo
Thanx mkuu mshana kwa ushauri....Wala sikushauri hakuna kitu hapo njoo uswazi ujionee
Teh teh teh...wabongo bana.Huyu giggy money alisema kwasasa ana mtu anampa laki 5 kwa siku hivyo akitokea atakayepanda zaidi ya hapo atakuwa naye.Ina maana matonya anatoa zaidi ya laki tano kwa siku?Kwa hiyo kishaachana na Captain na yule jamaa anaempa laki 5 kwa siku?!
Picha zake nyingi angalia nguo zake, huwa hanyooshiKwi kwi kwi kwi kwi kwi!! Hivi umewazaje hadi ukauuliza hili swali!? Teh teh teh teh teh