Gigy Money anatoka na Matonya

mkuu huyu ametamka wazi kuwa kila anachofanya amejifunza kutoka kwa mama yake
Kwa jinsi anavyo jipaisha kwenye media na social net, ilinilazimu nimtafute walau niweze jiridhisha aiseeee....[emoji1] [emoji1]
Sasa kama anasema hata zile picha akifanya matangazo ya vyupi..[emoji160] kwamba kafundishwa na mama yake..[emoji87]
Sasa inanilazimu nimtafute mama yake pia nijiridhishe kama haya yasemwayo yanaukweli
 
basi ukimpata mama yake naomba uje na taarifa hapa mkuu
 
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
nimemsoma sehemu Katika gazeti la mwananchi la tarehe 14 may ukurasa wa kumi na saba
Mimi nilijikuta nashawishika kuzama YouTube ili nipate kutazama vilivyo na nipate kuona interviews zake aiseeee......[emoji12] [emoji12]
Gigy ni zaidi ya kichaa aiseeee [emoji23] [emoji23]
 
Pathetic...! Halafu siku hizi kick wanazitafuta kwenye kashfa sio kwenye kazi za vipato...kina shilole jide n the like
Hivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
dunia imevaa bukta,usikute ndugu wamewekeza huo ni mgodi kwao.wanachimba malighafi.you never know Mshana Jr
 
Ngoja nihamie Dar aiseeee....
Maana naona huku Ushirombo hakuna sukari kabisa..[emoji39] [emoji39]

Dah mkuu,ukiwa unaelekea darisalama pitia hapa Lalago nikupe barua unipelekee kwa ndugu yangu Jilala baiskeli niliishi naye Kishapu nkoi, bhebheshi maselfie na mambate machura, chuu.
 
Dah mkuu,ukiwa unaelekea darisalama pitia hapa Lalago nikupe barua unipelekee kwa ndugu yangu Jilala baiskeli niliishi naye Kishapu nkoi, bhebheshi maselfie na mambate machura, chuu.
Teh...teehhh.....teehhh....[emoji13] [emoji13]
Nimemkumbuka rafikiwangu kitambo 1996 akiitwaTanda tulivyo haribu kwenye baa flani hapo lalago tukielekea maswa kununua pamba aiseeee
 
anao sana, ila nadhan walishamtenga kitambo sana.
Hawajamtenga baba yake ni marehemu anaishi na mama yake! Mnyakyusa wa mbeya huyo kama Masogange! Anasema mamake hana noma na life style yake ila anamwambia eti "Vya kurithi vimepitiliza" ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…