KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wanatoka kwenda wapi?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu huyu ametamka wazi kuwa kila anachofanya amejifunza kutoka kwa mama yakeHivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
Mungu wangu kwa mdomo wake mwenyewe?mkuu huyu ametamka wazi kuwa kila anachofanya amejifunza kutoka kwa mama yake
nimemsoma sehemu Katika gazeti la mwananchi la tarehe 14 may ukurasa wa kumi na sabaMungu wangu kwa mdomo wake mwenyewe?
Na mnukuu "Mama ndiye mwalimu wangu mkubwa, najifunza kutoka kwake" mwisho wa kunukuuMungu wangu kwa mdomo wake mwenyewe?
Basi dunia inaumwaNa mnukuu "Mama ndiye mwalimu wangu mkubwa, najifunza kutoka kwake" mwisho wa kunukuu
Ndio huyu Evelyn Salt.ni nani hapa mujini?
Kwa jinsi anavyo jipaisha kwenye media na social net, ilinilazimu nimtafute walau niweze jiridhisha aiseeee....[emoji1] [emoji1]mkuu huyu ametamka wazi kuwa kila anachofanya amejifunza kutoka kwa mama yake
basi ukimpata mama yake naomba uje na taarifa hapa mkuuKwa jinsi anavyo jipaisha kwenye media na social net, ilinilazimu nimtafute walau niweze jiridhisha aiseeee....[emoji1] [emoji1]
Sasa kama anasema hata zile picha akifanya matangazo ya vyupi..[emoji160] kwamba kafundishwa na mama yake..[emoji87]
Sasa inanilazimu nimtafute mama yake pia nijiridhishe kama haya yasemwayo yanaukweli
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Kwa jinsi anavyo jipaisha kwenye media na social net, ilinilazimu nimtafute walau niweze jiridhisha aiseeee....[emoji1] [emoji1]
Sasa kama anasema hata zile picha akifanya matangazo ya vyupi..[emoji160] kwamba kafundishwa na mama yake..[emoji87]
Sasa inanilazimu nimtafute mama yake pia nijiridhishe kama haya yasemwayo yanaukweli
Naskia eti anafananishwa na chura...ni nani hapa mujini?
Mimi nilijikuta nashawishika kuzama YouTube ili nipate kutazama vilivyo na nipate kuona interviews zake aiseeee......[emoji12] [emoji12]nimemsoma sehemu Katika gazeti la mwananchi la tarehe 14 may ukurasa wa kumi na saba
Mhhhhhhhh huyu alisema atamaliza wasanii wote bongo
Hahahahhahah"If you have got beauty without brain..., the private parts, suffers the most.."
MhhhhhhhhhAvatar, lol
Pathetic...! Halafu siku hizi kick wanazitafuta kwenye kashfa sio kwenye kazi za vipato...kina shilole jide n the like
dunia imevaa bukta,usikute ndugu wamewekeza huo ni mgodi kwao.wanachimba malighafi.you never know Mshana JrHivi huyu binti hana wazazi wala ndugu wenye staha na busara wamfundishe nini maana ya maisha?
Ngoja nihamie Dar aiseeee....
Maana naona huku Ushirombo hakuna sukari kabisa..[emoji39] [emoji39]
Teh...teehhh.....teehhh....[emoji13] [emoji13]Dah mkuu,ukiwa unaelekea darisalama pitia hapa Lalago nikupe barua unipelekee kwa ndugu yangu Jilala baiskeli niliishi naye Kishapu nkoi, bhebheshi maselfie na mambate machura, chuu.
Hata D hotel au Olimpic sukari hamna?Ngoja nihamie Dar aiseeee....
Maana naona huku Ushirombo hakuna sukari kabisa..[emoji39] [emoji39]
Hawajamtenga baba yake ni marehemu anaishi na mama yake! Mnyakyusa wa mbeya huyo kama Masogange! Anasema mamake hana noma na life style yake ila anamwambia eti "Vya kurithi vimepitiliza" ""anao sana, ila nadhan walishamtenga kitambo sana.