kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,216
- 21,914
Kwamba ni chakula yake ?Mbona siku nyingi tu, ila hakuanza kuugua
Nakala: Albert Msando
Kwamba ni chakula yake ?Mbona siku nyingi tu, ila hakuanza kuugua
Nakala: Albert Msando
CcApumzike kwa Amani Amina.
Ulikuwa jela? mbona unapitwa sana!Kwamba ni chakula yake ?
Why mnawapa airtime wahuni wasio na maadili ?Inasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
kwamba grid imekata umeme?😀Mbona siku nyingi tu, ila hakuanza kuugua
Nakala: Albert Msando
Aloo kweli napitwa na mengiUlikuwa jela? mbona unapitwa sana!
Alibadilisha makalioo kimeumanaInasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
unataka kusema wakili msomi nae kaunganishwa na grid ya taifa?Mbona siku nyingi tu, ila hakuanza kuugua
Nakala: Albert Msando