[emoji23]Kama unamuona gigy money ana akili basi itakuwa kwenye circle yako na ndugu zako umezungukwa na wanawake wajinga sana
Pole yake, Mungu ampe Siha NjemaInasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
Kwani Kafanyaje?Atavuna alichopanda
Mlikuja mjini kwa Gari la Ng'ombeUnajua sisi tunakujua wewe ndo mtoto wa mjini humu ndan siye wengine tumevamia Jiji,
Bas ngoja tumuite huyu Nifah
Yaan wewe acha tu ndugu yanguMlikuja mjini kwa Gari la Ng'ombe
MafurikoMlikuja mjini kwa Gari la Ng'ombe
Msando anasemaje maana ashahamia hapo UbungoInasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
Mitano teeenaaaInatakiwa Gigy atoe tamko kama la Hayati Diana Aston Villa ili mjini pachangamke... kahaba akiumwa huwa ni taharuki kwa wazinzi.
Mbona siku nyingi tu, ila hakuanza kuugua
Nakala: Albert Msando
Tukumbushane, hivi huu si ni mwaka wa uchaguzi si ndiyo? Wasanii na watu mashukhuri wengi watapatwa na madhara au kufa baada ya kufanyiwa makafara na wenzao wenye roho ya Kiccm. Majuzi tu hapa, huyu Giggy alitembelewa na Makalla, tutaona mengi. Kuna watu washatangaza kuwa ikifika mwezi wa 8 au wa 9 hivi wataanza kula sahani moja na Haji Manara, viungo vyake vinahitajika Kanda ya Ziwa ile mbaya.Inasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
Huyu si ni msanii....CCM ipo, itampeleka India tu.Inasemekana Msanii Na Chawa Gigy Money ni Mgonjwa amelazwa Muhimbili .
Mwenye habari zaidi au kukanusha na atujuze.
Source: nivuruge nikuvuruge (Instagram)
Haji manara a.k.a Bugatti analijua Hilo?😂Tukumbushane, hivi huu si ni mwaka wa uchaguzi si ndiyo? Wasanii na watu mashukhuri wengi watapatwa na madhara au kufa baada ya kufanyiwa makafara na wenzao wenye roho ya Kiccm. Majuzi tu hapa, huyu Giggy alitembelewa na Makalla, tutaona mengi. Kuna watu washatangaza kuwa ikifika mwezi wa 8 au wa 9 hivi wataanza kula sahani moja na Haji Manara, viungo vyake vinahitajika Kanda ya Ziwa ile mbaya.
Umasikini kivipi...? Wakati alikuwa na ajira yake toka kitambo ya Utangazaji, akaamuma kuicha na kukimbilia kudanga baada ya kupata jina hapa mjini..Sema umasikini n mbaya sana unafanya talanta zipotee