Yeye anafunda tu wala hawazi wtu wanamzungumziaje.Gigy kawaingiza sana Chaka vijana wengi
Kwel daslamu ina watu wengi maarufu sana🖐Mkuu,baada ya kufatilia picha na video akiwa hospital nimeanza kuhisi ni drama na kutaka kuchukua attention,hivyo tuwe Makini sana nahisi ni kiki zake za kijinga..nitaweka video hapa akiwa hospitali
Anaumwa.....amepunguaHata kama ni kiki ila Kuna namna mkondo wa umeme umezidi kiwango Cha nahitaji na matumizi
Chawa wakamsaidie cha wote waoKupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa.
Gigy Money alipelekwa hospitali ya Muhimbili baada ya juhudi za awali katika vituo vingine vya afya, na familia yake inawashukuru madaktari kwa msaada wao. Kwa sasa, anahitaji mapumziko, faraja na utulivu katika kipindi hiki kigumu cha kupambana na afya yake.
Si hata Mungu ambebe tuHata kama ni kiki ila Kuna namna mkondo wa umeme umezidi kiwango Cha nahitaji na matumizi
Kuna watu ni wa ajabu mkuuKama unamuona gigy money ana akili basi itakuwa kwenye circle yako na ndugu zako umezungukwa na wanawake wajinga sana
Ndio mkuuKabisaa